Kwa hiyo ni sisi auWadada wengi wana tabia ya kutaka kukwapua boyfriends wa rafiki zao sijui kwanini..
Unakuta alikua anakufahamu, ila alikua hana mazoea na wewe, ila ukishaanza date na rafiki yake anaanza kukupa attention yenye maana ya yeye kujilengesha kimapenzi.. mwanaume usipokua na msimamo unaharibu ephen_ ShesRise_1 realMamy Shadeeya
Uwiiii! Mi hilo jina hapana kwa kweli.
Kwanini sasa? Mimi mashemeji zangu wote ni shem darlingUwiiii! Mi hilo jina hapana kwa kweli.
Shem nyama ya hamuWadada wengi wana tabia ya kutaka kukwapua boyfriends wa rafiki zao sijui kwanini..
Unakuta alikua anakufahamu, ila alikua hana mazoea na wewe, ila ukishaanza date na rafiki yake anaanza kukupa attention yenye maana ya yeye kujilengesha kimapenzi.. mwanaume usipokua na msimamo unaharibu ephen_ ShesRise_1 realMamy Shadeeya
ShemelaIla we jamaa sijui umewaza nini😅
But mimi hua naona tu neno Shem limekaa kimchongo mchongo
Kama ni shemeji basi iwe shemeji
🤣Shemela
Kwanini asiwe nao?Sasa mwanaume anakuaje na wifi