moyo wangu
Member
- Nov 18, 2011
- 59
- 13
Tally = software for bookkeeping upo!
Habarini,atlast nimeitwa kwenye interview kwenye kampun fulani ambayo niliona tangazo hapahapa jf,,lakn kwenye maelezo yako walisema mtu awe na xpirience ya negotion skills na use of tally,,cjaelewa wamemaanisha tally ipi?.....Kama hujui wewe pita tu mana heshima kitu cha bure silazima uandike kashfa zako..
Tally ni software ya kihasibu
inayokuwezesha kufanya kazi za ki-uhasibu kama receivable and payeable!
Okey nmekuelewa...sasa wamenita kwenye interview na mimi cjui kuhusu hyo software na npo mkoani je niende hvohvo au?
Okey nmekuelewa...sasa wamenita kwenye interview na mimi cjui kuhusu hyo software na npo mkoani je niende hvohvo au?
uki-google sawa; lkn pia ukijitaidi ukatinga kwenye taasisi zozote zinazo deal na maswala ya pesa( k.m vile benki n.k) wale current accountant hiyo program wanaijua unaweza kuomba ushauri atleast upate Basic Idea.Okey nmekuelewa...sasa wamenita kwenye interview na mimi cjui kuhusu hyo software na npo mkoani je niende hvohvo au?
uki-google sawa; lkn pia ukijitaidi ukatinga kwenye taasisi zozote zinazo deal na maswala ya pesa( k.m vile benki n.k) wale current accountant hiyo program wanaijua unaweza kuomba ushauri atleast upate Basic Idea.
Nadhani kwenye baadhi ya vyuo vidogo vidogo vya computer wanafundisha so unaweza pata japo idea kidogo ukienda japo hata upate basic ya siku 3!
jitahidi kugoogle ujue basics za hiyo software, umesomea mambo gani?
Habarini,atlast nimeitwa kwenye interview kwenye kampun fulani ambayo niliona tangazo hapahapa jf,,lakn kwenye maelezo yako walisema mtu awe na xpirience ya negotion skills na use of tally,,cjaelewa wamemaanisha tally ipi?.....Kama hujui wewe pita tu mana heshima kitu cha bure silazima uandike kashfa zako..
Kumbe hizi experience wanazoandika wanataka kutukatisha tamaa hili tusitume,maana walikua wanataka experience ya tally ww hauna na wamekuita kwenye interview da hongera sana mkuu,maana me tangu niikose tra mwaka jana hadi leo hata kwenye interview cjaitwa tena km wamenitilia nuksi