Nini maana ya TALLY

Nini maana ya TALLY

moyo wangu

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
59
Reaction score
13
Habarini,atlast nimeitwa kwenye interview kwenye kampun fulani ambayo niliona tangazo hapahapa jf,,lakn kwenye maelezo yako walisema mtu awe na xpirience ya negotion skills na use of tally,,cjaelewa wamemaanisha tally ipi?.....Kama hujui wewe pita tu mana heshima kitu cha bure silazima uandike kashfa zako..
 
Tally = software for bookkeeping upo!
 
Habarini,atlast nimeitwa kwenye interview kwenye kampun fulani ambayo niliona tangazo hapahapa jf,,lakn kwenye maelezo yako walisema mtu awe na xpirience ya negotion skills na use of tally,,cjaelewa wamemaanisha tally ipi?.....Kama hujui wewe pita tu mana heshima kitu cha bure silazima uandike kashfa zako..

Tally ni software ya kihasibu
inayokuwezesha kufanya kazi za ki-uhasibu kama receivable and payeable!
 
Okey nmekuelewa...sasa wamenita kwenye interview na mimi cjui kuhusu hyo software na npo mkoani je niende hvohvo au?
 
Nadhani kwenye baadhi ya vyuo vidogo vidogo vya computer wanafundisha so unaweza pata japo idea kidogo ukienda japo hata upate basic ya siku 3!
 
Okey nmekuelewa...sasa wamenita kwenye interview na mimi cjui kuhusu hyo software na npo mkoani je niende hvohvo au?
uki-google sawa; lkn pia ukijitaidi ukatinga kwenye taasisi zozote zinazo deal na maswala ya pesa( k.m vile benki n.k) wale current accountant hiyo program wanaijua unaweza kuomba ushauri atleast upate Basic Idea.
 
Ntajitahd kuifatilia uzur nijue japo kwa juu.thanx
 
Habarini,atlast nimeitwa kwenye interview kwenye kampun fulani ambayo niliona tangazo hapahapa jf,,lakn kwenye maelezo yako walisema mtu awe na xpirience ya negotion skills na use of tally,,cjaelewa wamemaanisha tally ipi?.....Kama hujui wewe pita tu mana heshima kitu cha bure silazima uandike kashfa zako..

Kumbe hizi experience wanazoandika wanataka kutukatisha tamaa hili tusitume,maana walikua wanataka experience ya tally ww hauna na wamekuita kwenye interview da hongera sana mkuu,maana me tangu niikose tra mwaka jana hadi leo hata kwenye interview cjaitwa tena km wamenitilia nuksi
 
ni kampuni hyo kwani hata mie niliitwa kampuni moja hv hpa dsm wanataka nijue tally.
 
Kumbe hizi experience wanazoandika wanataka kutukatisha tamaa hili tusitume,maana walikua wanataka experience ya tally ww hauna na wamekuita kwenye interview da hongera sana mkuu,maana me tangu niikose tra mwaka jana hadi leo hata kwenye interview cjaitwa tena km wamenitilia nuksi

Pole ila jarbu kutuma cv yako kwenye email ya tzmedia25@gmail.com watakusaidia kama walivonsaidia.uckate tamaa mie mwenyewe ckat tamaa
 
hONgera mkuu,sema ungekua dar ngekupa ile cd ya tally au kuna jamayang anafundishaga hzo mambo maeneo ya town angekupga msasa kdogo
 
Back
Top Bottom