JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea.
Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao
Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 kupitia Ibara ya 16 imeweka bayana umuhimu na Haki ya Faragha, mpaka sasa Tanzania haina Sheria inayosimamia haki hiyo.
Upvote
0