Nini maana ya Unazi

Nini maana ya Unazi

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,957
Reaction score
827
Naomba kusaidiwa maana ya Unazi, utaskia mtu anasema "usilete unazi wewe" au "acha unazi", inakuwa na maana gani?


Gaijin, kiraia, SMU and 16 others like this.
 
Ina maana ya upenzi uliopitiliza kiasi kwamba unashindwa kuona uhalisia endapo mambo hayendi sawa.
 
Back
Top Bottom