mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
LIKE ni nini hata itengenezewe uzi?
chanzo cha makapuku nacho kilikuwa ni malalamiko ya mtu kuibiwa likes sijui like zake zinapungua.
kuna uhusiano wowote wa nyumbaji kwa watu wanaofikiri kwa kina ( home of great thinkers) na mavuguvugu haya.
kwa nini uvumbuzi huu unashamiri leo na sio kipindi kile like zikiwa ni automatic na unpredictable.
nawaza kidogo tu pembeni ya kasha, kama mwana wa adamu nitakubali kupokea mishale yote ya mashambulizi kwa wasiopendeza na kuhoji huku.
unadhani nini maana ya hizi thread mbili.
binafsi naona ni ishara ya jamii kupenda sifa wasizostahili au zisizo na sababu.