Nini maana ya uzi wa Makapuku Forum na huu wa Kupeana Likes

Nini maana ya uzi wa Makapuku Forum na huu wa Kupeana Likes

Usicomplicate mambo mkuu after all kule ni CHITCHAT na mambo ya chitchat ndio kama hayo.. STRESS FREE ZONE

Mbona mnakandia nyuzi za watu ambao wamebuni kitu chao ambacho hakivunji sheria za JF...Kimsingi hizo nyuzi zingekuwa zinavunja sheria za JF usingeziona hadi leo kwa hiyo take it easy!!


cc: Jembekillo Kichwa Kichafu Bitoz Transcend SHIMBA YA BUYENZE shedede Jimena
Mkuu mbona umemsahau kata shime
Utakutana na maneno mapya mapya yakufurahisha

Natafuta kiki namm niwe star
 
kula like mkuu umeongea ukweli,wao wanataka mpaka umponde lowassa au magufuli ndo upate like.

Hii point sio ya Dunia hii.

Hahahaahahahahahaaaa.

Unachokisema ni kweli kabisa mkuu.

Mimi huwa natembelea jukwaa la Siasa na kuchangia mada pia, kule tunajuana makada kama kawaida, unaweza kukuta post ya kada fulani ambae mnapishana mnachokiamini haina like hata moja lakini wanaishabulia kwa ku quote tu.

Sasa kama sisi tumebuni njia mbadala ya kupeana like kiroho safi tu bila ubaguzi wowote lakini watu wanaona wivu.

Hawa watu ni wa kuwapuuza tu.
 
hawa watu mkuu wanataka umaarufu kupitia nyuzi hizi mbili makapuku na likes. dawa yao ni kuwanyamazia kimya tu.
Kuna wakati unapo tafuta kitu pamabana mwenyewe kwaaana walio huko makapuku au kupata like hujawaunganisha wewe humu jf ila walijiunga kwa utashi wao

Unacho weza kufanya fanya unacho on a kipo nje ya uwezo wako wachie wahusika
maana wanasema KIMFAACHO MTU CHAKE USIKITOLEE MACHO CHA JIRANI
 
Hii point sio ya Dunia hii.

Hahahaahahahahahaaaa.

Unachokisema ni kweli kabisa mkuu.

Mimi huwa natembelea jukwaa la Siasa na kuchangia mada pia, kule tunajuana makada kama kawaida, unaweza kukuta post ya kada fulani ambae mnapishana mnachokiamini haina like hata moja lakini wanaishabulia kwa ku quote tu.

Sasa kama sisi tumebuni njia mbadala ya kupeana like kiroho safi tu bila ubaguzi wowote lakini watu wanaona wivu.

Hawa watu ni wa kuwapuuza tu.
si ndo hapo mkuu nashangaa kwa nini wanachukia utadhani tunawapora likes zao
 
LIKE ni nini hata itengenezewe uzi?
chanzo cha makapuku nacho kilikuwa ni malalamiko ya mtu kuibiwa likes sijui like zake zinapungua.

kuna uhusiano wowote wa nyumbaji kwa watu wanaofikiri kwa kina ( home of great thinkers) na mavuguvugu haya.

kwa nini uvumbuzi huu unashamiri leo na sio kipindi kile like zikiwa ni automatic na unpredictable.

nawaza kidogo tu pembeni ya kasha, kama mwana wa adamu nitakubali kupokea mishale yote ya mashambulizi kwa wasiopendeza na kuhoji huku.

unadhani nini maana ya hizi thread mbili.
binafsi naona ni ishara ya jamii kupenda sifa wasizostahili au zisizo na sababu.
Naona mleta Uzi ka escape[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom