mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
kweli mkuu siasa zinachosha ubongoNadhani sometimes we have to see the funny side of life in order to keep going mkuu.
afadhali.. binadamu wako wachache,,wewe ni mmoja waoNadhani sometimes we have to see the funny side of life in order to keep going mkuu.
hahahaa huwa nasoma lkn sielewi jamaa wwnaongea nini kule...Karibu na wewe upate likes mbili tatu [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kama wewe unapenda siasa sio wote...
"Never take life so seriously you will never get out of it alive" [emoji4] [emoji4] [emoji4]
hawa watu mkuu wanataka umaarufu kupitia nyuzi hizi mbili makapuku na likes. dawa yao ni kuwanyamazia kimya tu.Usicomplicate mambo mkuu after all kule ni CHITCHAT na mambo ya chitchat ndio kama hayo.. STRESS FREE ZONE
Mbona mnakandia nyuzi za watu ambao wamebuni kitu chao ambacho hakivunji sheria za JF...Kimsingi hizo nyuzi zingekuwa zinavunja sheria za JF usingeziona hadi leo kwa hiyo take it easy!!
cc: Jembekillo Kichwa Kichafu Bitoz Transcend SHIMBA YA BUYENZE shedede Jimena
mwambie huyoKaribu na wewe upate likes mbili tatu [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kama wewe unapenda siasa sio wote...
"Never take life so seriously you will never get out of it alive" [emoji4] [emoji4] [emoji4]
kabisa mkuuafadhali.. binadamu wako wachache,,wewe ni mmoja wao
kula like mkuu umeongea ukweli,wao wanataka mpaka umponde lowassa au magufuli ndo upate like.Nadhani sometimes we have to see the funny side of life in order to keep going mkuu.
IF YOU CANT BEAT THEM, JUST JOIN THEMhahahaa huwa nasoma lkn sielewi jamaa wwnaongea nini kule...
shida sio like mkuu, hebu tupia kabisa like hapo kuonyesha umeelewa.
Sioni uhusiano wa nilichoandika na kuchukulia maisha siriasi.
huo msemo ni kichaka cha kizembe sana maana hata kuwa mtandaoni tu ni kutochukulia maisha siriasi, hata kupinga kitendo cha watu karibu 1K Huku ujui wakija utawajibu vipi ni kutochukulia maisha siriasi.
cc
jose.... na wadau hapo juu
Chukua like aiseehawa watu mkuu wanataka umaarufu kupitia nyuzi hizi mbili makapuku na likes. dawa yao ni kuwanyamazia kimya tu.
asante mkuu nawe kula likeChukua like aisee
kwelihawa watu mkuu wanataka umaarufu kupitia nyuzi hizi mbili makapuku na likes. dawa yao ni kuwanyamazia kimya tu.
hawana namna inabidi tu wafanye hivyoIF YOU CANT BEAT THEM, JUST JOIN THEM