Nini maana ya uzi wa Makapuku Forum na huu wa Kupeana Likes

Mkuu mbona umemsahau kata shime
Utakutana na maneno mapya mapya yakufurahisha

Natafuta kiki namm niwe star
 
kula like mkuu umeongea ukweli,wao wanataka mpaka umponde lowassa au magufuli ndo upate like.

Hii point sio ya Dunia hii.

Hahahaahahahahahaaaa.

Unachokisema ni kweli kabisa mkuu.

Mimi huwa natembelea jukwaa la Siasa na kuchangia mada pia, kule tunajuana makada kama kawaida, unaweza kukuta post ya kada fulani ambae mnapishana mnachokiamini haina like hata moja lakini wanaishabulia kwa ku quote tu.

Sasa kama sisi tumebuni njia mbadala ya kupeana like kiroho safi tu bila ubaguzi wowote lakini watu wanaona wivu.

Hawa watu ni wa kuwapuuza tu.
 
hawa watu mkuu wanataka umaarufu kupitia nyuzi hizi mbili makapuku na likes. dawa yao ni kuwanyamazia kimya tu.
Kuna wakati unapo tafuta kitu pamabana mwenyewe kwaaana walio huko makapuku au kupata like hujawaunganisha wewe humu jf ila walijiunga kwa utashi wao

Unacho weza kufanya fanya unacho on a kipo nje ya uwezo wako wachie wahusika
maana wanasema KIMFAACHO MTU CHAKE USIKITOLEE MACHO CHA JIRANI
 
si ndo hapo mkuu nashangaa kwa nini wanachukia utadhani tunawapora likes zao
 
Naona mleta Uzi ka escape[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…