matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kwa nini sehemu nyingi kusini mwa jangwa la sahara hakuna mwamko mkubwa kama TZSometimes ni sehemu ya kujifariji tu na ku refresh mind ili kuondoa toxic kwenye nafsi zao.
Kweli, Azam kafanya mapinduzi makubwa hadi vijijiniLigi ya bongo imekua,angalia hata idadi ya wanaofuatilia ligi ya uingereza wamepungua wengi wamerudi nyumbani
Pongezi kubwa kwa Azam Tv
👏Raha jipe mwenyewe. Hiyo ndio tafsiri ya kuishi. Dunia ni mapito, hivyo inatupasa kufurahia angali tuna nguvu na afya.
AiseeJe ni ugumu wa maisha watu wameamua kupoteza lengo katika burudani na michezo?
Ni umoja wa kitaifa🙏Je ni uchumi kukua kiasi kwamba watu wanapesa za kula na za anasa na burudani?
Je ni ugumu wa maisha watu wameamua kupoteza lengo katika burudani na michezo?
Je ni kukua kwa kiwango cha ufuatiliaji wa mpira wa ndani kwa siku za karibuni?
Nimelinganisha maudhurio yetu yanaendana na ya nchi za waarabu ila kwa weusi wenzetu tuko mbali sana.
Hilo la wanawake naona linanguvu sana japo point zako zote safiiUwekezaji mzuri umechangia;
●Timu zetu zimeanza kufanya vizuri hii imeanza kuwavutia mashabiki. Mfano Mo na GSM wamefanya kazi nzuri kwenye uwekezaji
●Wahamisishaji na wasemaji wa klabu wamekuwa wakifanya kazi nzuri kuhamasisha mashabiki
●Ubora wa wachezaji wanaosajiliwa hasa wa kigeni imekuwa kivutio kwa mashabiki
●Kwa upande wa TV azam apewe maua yake
●Media zimetoa airtime sana habari za michezo na matukio ya kimichezo. kwa sasa vipindi vya michezo ndiyo vyenye airtime kubwa kuliko vingine vyote, hii imechangia uhamasishaji
Good news wanawake wameanza kuwa mashabiki ndakindaki wa Simba na Yanga
Huku umaskini ukiendelea kudidimiza maelfu ya watanzania.●Uwekezaji mzuri umechangia timu zetu zimeanza kufanya vizuri hii imeanza kuwavutia mashabiki. Mfano Mo na GSM wamefanya kazi nzuri kwenye uwekezaji
●Wahamisishaji na wasemaji wa klabu wamekuwa wakifanya kazi nzuri kuhamasisha mashabiki
●Ubora wa wachezaji wanaosajiliwa hasa wa kigeni imekuwa kivutio kwa mashabiki
●Kwa upande wa TV azam apewe maua yake
●Media zimetoa airtime sana habari za michezo na matukio ya kimichezo. kwa sasa vipindi vya michezo ndiyo vyenye airtime kubwa kuliko vingine vyote, hii imechangia uhamasishaji
Good news wanawake wameanza kuwa mashabiki ndakindaki wa Simba na Yanga
Kwa hiyo ukiwa masikini usifurahie michezo na burudani?Huku umaskini ukiendelea kudidimiza maelfu ya watanzania.