Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Libeneke: Kwa ufahamu wangu neno ili ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya msimu), na maana yake ni Kung'ang'ania jambo bila sababu ya maana.WanaJF, naomba msaada wa maneno haya:
1. LIBENEKE
2. MSAADA KATIKA TUTA/TUTANI
Natanguliza shukurani - Asanteni
Nadhani neno Magumashi ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya Msimu). Maana yake ni kitu cha Bandia (Fake)... Uongo, Utapeli.Nini maana ya magumashi, sharobalo
asante mkuu nimejua maana sasa,inabidi uwe unatufasilia maana huku uswazi hayo maneno wamegeuza lugha ya taifaNadhani neno Magumashi ni Kiswahili cha mtaani (Lugha ya Msimu). Maana yake ni kitu cha Bandia (Fake)... Uongo, Utapeli.