Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimpeleka mwanamke hospitali kujifungua, kuna ambao wanaambiwa kuwa inabidi wapigwe bomba.
Hii kupigwa bomba ndiyo kitu gani tena??
ukimpeleka mwanamke hospitali kujifungua, kuna ambao wanaambiwa kuwa inabidi wapigwe bomba.
Hii kupigwa bomba ndiyo kitu gani tena??
Ukimpeleka mwanamke hospitali kujifungua, kuna ambao wanaambiwa kuwa inabidi wapigwe bomba.
Hii kupigwa bomba ndiyo kitu gani tena??
mkuu ulisikia wapi hii kitu? una first hand experience? ama ndo yale yale maongezi ya mtaani?
Mi nadhani atapigwa bomba kama unavosema kama njia ya kimatibabu...kusafisha utumbo mpana ile wanaita enema (google it), especially kwa mattaizo ya fistula nk wakati wa kumtibia....
Naona wengi wamestuka ! hbii nimesikia hospital na si kwingineko
Ni kitu cha kweli wala si story ya mtaani