Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nasikia vijiweni kuwa simu huleta madhala kwenye ubongo je ni kweli?
Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika....
siyo kosa langu ila wingi wa lugha kwenye bongo yangu ndo unanichanganya. Ila nikichanganya na kizungu mbona husemi?
Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika....