nini madhara ya diclopa kwa wasichana???

nini madhara ya diclopa kwa wasichana???

amina ali

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
52
Reaction score
11
jamani wanajamvi natumai mnaendelea vizuri na harakati za maendeleo ya taifa. mi mwenzenu nawaomba mnijuze hatari ya hizi diclopa kwetu sisi wanawake maana mimi nnapoenda siku zangu huwa naumwa na tumbo sana lakini nnapokula dawa hizi tu napona, ila nasikia sio nzuri hivi nikweli??
 
Back
Top Bottom