Mvumilivumie
Member
- Apr 16, 2015
- 64
- 75
Naomba kufahamu madhara ya kiafya yanayoweza kumpata mtu hasa Mwanamke ambaye anaweza akaa hadi siku mbili au tatu bila kuoga na hata kupiga mswaki? Haijalishi ni sababu gani inamfanya anashindwa kufanya hayo, kwani hilo halitaondoa madhara ya kiafya kwa muhusika. Ina maana kwamba huyu Mama atakuwa anaoga kwa wiki labda mara 2 au tatu akijitahidi. Na katika kipindi hicho labda muda mwingi anasukutua tu mdomo bila kupiga mswaki.
Naomba mnisaidie kujua madhara ya kiafya tafadhali.
Ahsanteni sana.
Naomba mnisaidie kujua madhara ya kiafya tafadhali.
Ahsanteni sana.