Nini Madhara ya Kiafya kwa Mwanamke Kutooga na Kupiga Mswaki kwa Siku 2-3?

Nini Madhara ya Kiafya kwa Mwanamke Kutooga na Kupiga Mswaki kwa Siku 2-3?

Mvumilivumie

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
64
Reaction score
75
Naomba kufahamu madhara ya kiafya yanayoweza kumpata mtu hasa Mwanamke ambaye anaweza akaa hadi siku mbili au tatu bila kuoga na hata kupiga mswaki? Haijalishi ni sababu gani inamfanya anashindwa kufanya hayo, kwani hilo halitaondoa madhara ya kiafya kwa muhusika. Ina maana kwamba huyu Mama atakuwa anaoga kwa wiki labda mara 2 au tatu akijitahidi. Na katika kipindi hicho labda muda mwingi anasukutua tu mdomo bila kupiga mswaki.

Naomba mnisaidie kujua madhara ya kiafya tafadhali.

Ahsanteni sana.
 
Jamani msaada wa kitaalamu kuhusu hilo tafadhali. Ni muhimu sana.

Yani umekaa kabisa unasubiri tukusaidie kuhusu hilo, jamaaniii we vipi mbona aibu hii. Hawezi kupata madhara mwambie akae hata mwezi mzima
 
Mmmh hyo harufu yake sijui kama itavumilika, hata awe mzuri vp atakutia kinyaa sanaa....
A man can stay siku hzo bila kuoga na asiharibu kihivyo ukilinganisha na mwanamke. Madhara ya ki afya tusubiri wataalam waje.
 
Ahsante Senior Boss. Ngoja niendelee kusubiri, labda wataalam watasaidia katika hilo.
 
Kunyanyapaliwa tu maana harufu ya hapo ni kama zile chemba za kariakoo
 
Siamini unachosema unataka kudhalilisha huyo mwanamke si kweli.kama mgonjwa kwani hana wadaidizi.
 
Back
Top Bottom