Mvumilivumie
Member
- Apr 16, 2015
- 64
- 75
atanenepa sana huyo mwanamke
Jamani msaada wa kitaalamu kuhusu hilo tafadhali. Ni muhimu sana.
mmmmmh...
Mambo zamaulid utakoma ngoja Mbuni akukamate
hiyo ni run for life...atasubiri sana!!na kwa pumzi niliyo nayo kwa sasa hata game langu litakuwa juu...
Mmmh hyo harufu yake sijui kama itavumilika, hata awe mzuri vp atakutia kinyaa sanaa....
A man can stay siku hzo bila kuoga na asiharibu kihivyo ukilinganisha na mwanamke. Madhara ya ki afya tusubiri wataalam waje.