Kamau Kingu
Member
- Feb 8, 2015
- 71
- 7
Dont Gv Up,ni Mawazo Pia
,kitaalam Mwanamke Anashauriwa Aoge Mara2~3 Kwa Siku,hivy Asipofanya Hivyo kwanza mwili utatoa harufu kutokana na jasho ambalo hutoka nje km takamwili,pia harufu huweza kuongezeka endapo hatooga damu ya hedhi ambyo inasemekana kuwa na harufu mby sana
pili,magonjw ya ngoz mf muwasho pia huweza kumpata kutokan na vitund vya ngoz kujaa taka zitokanaz na jasho pmj na taka nyngne
tatu,hata ile haiba yake kwa mumewe na wanajamii hupotea,anaweza aidha akajikuta anatengwa na wenzake
nb:
personal hygiene is crucial,, n mawaz2
Kuhuxu Kutopga Mswaki,anaeza Akaoza Meno