Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Siku hizi umezuka mtindo wa wengi wa vijana kugeuza simu wakati wa kupiga au kupokea. Imekuwa kama fasheni. Kwamba akipokea kwa njia ya kawaida eti hasikii vyema. Tunaelewa kuwa yapo madhara. Lakini nami pamoja na wengine tunahitaji kuelewa ili kuondoa hili tatizo kwa taifa lijalo siku za mbeleni