Nini madhara ya kugeuza simu?

Nini madhara ya kugeuza simu?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Siku hizi umezuka mtindo wa wengi wa vijana kugeuza simu wakati wa kupiga au kupokea. Imekuwa kama fasheni. Kwamba akipokea kwa njia ya kawaida eti hasikii vyema. Tunaelewa kuwa yapo madhara. Lakini nami pamoja na wengine tunahitaji kuelewa ili kuondoa hili tatizo kwa taifa lijalo siku za mbeleni
 
Mkuu inategemea na aina ya simu
Simu nyingi zinazogeuzwa ni vile vinokia vya torch.
Sina uhakika sana na logical explanation behind that practice ila nadhani wadau watatusaidia kwenye hili. Sijui ndo mambo ya miale au mbwembwe.
Tutajua tu
 
Mkuu inategemea na aina ya simu
Simu nyingi zinazogeuzwa ni vile vinokia vya torch.
Sina uhakika sana na logical explanation behind that practice ila nadhani wadau watatusaidia kwenye hili. Sijui ndo mambo ya miale au mbwembwe.
Tutajua tu

Mkuu mimi niliskia, haipaswi kuskiliza simu kwa sikio la kulia, tunapaswa tutumie sikio la kushoto! Sjui umewahi kusikia hivyo!
 
ukigeuza simu unaexpose sikio lako na silicon ambayo ipo karibu sana na hlo tundu la simu
 
Mimi natumia simu ya nokia tochi, kabla sijawa nayo nilikuwa naona watu wanageuza nikawa nawashangaa. Lkn nilivyoanza kuitumia nikajua why wanageuza, ukisikiliza kwa njia ya kawaida husikii vzr na kama kuna mtu pembeni yako yeye ndio anayekuwa anasikia zaidi. Kama kuna madhara itabidi tuendelee kujitahidi kusikiliza kwa njia ya kawaida.
 
Huo ni ushamba, ulimbukeni na kufuata mkondo au msafara wa mamba na kenge, madhara ni mengi but we lack information!
 
Huo ni ushamba, ulimbukeni na kufuata mkondo au msafara wa mamba na kenge, madhara ni mengi but we lack information!

Hizo information ndo tunazihitaji hapa. Ni muhimu sana
 
Aah Sijui Kama Cmu Ita Weza Kua Na Madhara Yeyote Kuna Watu Na Washanga Wana Sema Ata Izi Za Tachi Smart Phone Zina Kansa Jamani Tusi Tishiane Uhuru Apa Dunian Bna Kan Mlitaka Msife Kwa Upande Wangu Mi Na Jumuisha Hakuna Lenye Mwanzo Likakosa Mwisho Au Faida Isiyo Na Hasara But Aya Mambo Cjui Nin Cjui Nini Na Chukulia Ni Story Tu Life Liende,
 
Back
Top Bottom