Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mkuu inategemea na aina ya simu
Simu nyingi zinazogeuzwa ni vile vinokia vya torch.
Sina uhakika sana na logical explanation behind that practice ila nadhani wadau watatusaidia kwenye hili. Sijui ndo mambo ya miale au mbwembwe.
Tutajua tu
Ushororo hadi kwenye simu!
Huo ni ushamba, ulimbukeni na kufuata mkondo au msafara wa mamba na kenge, madhara ni mengi but we lack information!
Hahaha mbona hata wewe hugeuza?