Kumbe na uzito unahusikaUnatakiwa Kunywa Maji kulingana Na Uzito wako si Kubugia Maji Tu.. Utakuwa Unakojoa Na Madini ya Mwili Sasa
Mfano Mwenye Uzito wa 60kg Anatakiwa Kunywa Maji lita 2.5 asizidi hapo..
Pia Kunywa Maji Kulingana na Mazingira Ukienda Nchi Zenye Baridi au Mikoa Yenye Baridi sana Unywaji Wa Maji Kulingana na Uzito Wako Unabadilika .. maana Kama upo Kwenye baridi mwili hautoi Jasho Kama Vile Upo Dar es salaam..View attachment 455843 ataua figo huyo kunywa maji kutokana na urefu na uzito wako kawaida mtu anatakiwa anywe glas nane kwa siku moja na nuau kabla na baada ya kula na iwe nusu saa kabla na baada
Kivp aflash .....figo yake nn sasa mwiliniMadhara yapo ni kuflash madini ya muhimu kwenye mwili,
Kivp aflash .....figo kazi yake nn sasa mwilini
Hebu fafanua vizuri huu unywaji wa maji kwa maeneo yenye baridi tafadhali.Pia Kunywa Maji Kulingana na Mazingira Ukienda Nchi Zenye Baridi au Mikoa Yenye Baridi sana Unywaji Wa Maji Kulingana na Uzito Wako Unabadilika .. maana Kama upo Kwenye baridi mwili hautoi Jasho Kama Vile Upo Dar es salaam..
So ukinywa maji Sana Utaua FigoPia Maana Mwili utayatoa Nje Kwa Wingi
Mkuu drappohkishimbo kwanini umesema ataua figo? Nimekua nikiamini kunywa maji mengi huirahisishia vigo kazi ya kuchuja taka. Imekaaje hiyo mkuu?View attachment 455843 ataua figo huyo kunywa maji kutokana na urefu na uzito wako kawaida mtu anatakiwa anywe glas nane kwa siku moja na nuau kabla na baada ya kula na iwe nusu saa kabla na baada
figo itatoa maji yaliyozid kila dakika sasa itachoka kufanya kaz kila mda kunywa maji kutokana na uzito wako au kunywa lglas nane kwa siku kukojoa usizidishe mara kumi kwa siku japo kuna mazingira kama kunywa pombe na barid huenda ukazidisha ni sawaMkuu drappohkishimbo kwanini umesema ataua figo? Nimekua nikiamini kunywa maji mengi huirahisishia vigo kazi ya kuchuja taka. Imekaaje hiyo mkuu?
Mimi nlikuwa na tatizo la mawe kwenye figo nlipokwenda pata matibabu doctor akanishaur ninywe maji yasipungue lita 3 kwa cku na nna uzito wa kilo 60..ina maana naweza pata tatizo lengine?
Kweli mkuu!ckuenda hospital ya serikali..nlienda kwa jamaa wa tiba mbadala,ila walinipa dawa ikasaidia kuondoa mawe..na nikaenda muhimbili nkaambiwa hamna mawe tena..na kabla ya hapo nlifanya kipimo muhimbili ndo nkagundulika na tatizo hiloKama daktari wa uchochoroni nenda sasa kwa hospitali ya serikali alafu skiza majibu