Nini madhara ya kunywa maji lita 6 kwa siku?

Nini madhara ya kunywa maji lita 6 kwa siku?

maji.yanayonyweka yana sifa ya kuwa.maji ya kujenga afya ya mwili ? labda kama kwenu mnapata maji ya "ndanda " kwa kuwa.ndiyo maji.mazuri kwa.afya ya binadamu lakini kama ni haya tuyanywayo.ya uhai,maisha,sayona,kilimanjaro etc etc ni kunywa kwa.kiasi tu .
 
kwa kawaida unatakiwa kunywa maji lita 6,na kwenda haja ndogo kila wakati ni vizuri,coz anatoa baadhi ya vitu vichafu mwilini.
 
Unatakiwa Kunywa Maji kulingana Na Uzito wako si Kubugia Maji Tu.. Utakuwa Unakojoa Na Madini ya Mwili Sasa

Mfano Mwenye Uzito wa 60kg Anatakiwa Kunywa Maji lita 2.5 asizidi hapo..
Kumbe na uzito unahusika
 
Screenshot_2017-01-08-06-42-50.png
ataua figo huyo kunywa maji kutokana na urefu na uzito wako kawaida mtu anatakiwa anywe glas nane kwa siku moja na nuau kabla na baada ya kula na iwe nusu saa kabla na baada
 
View attachment 455843 ataua figo huyo kunywa maji kutokana na urefu na uzito wako kawaida mtu anatakiwa anywe glas nane kwa siku moja na nuau kabla na baada ya kula na iwe nusu saa kabla na baada
Pia Kunywa Maji Kulingana na Mazingira Ukienda Nchi Zenye Baridi au Mikoa Yenye Baridi sana Unywaji Wa Maji Kulingana na Uzito Wako Unabadilika .. maana Kama upo Kwenye baridi mwili hautoi Jasho Kama Vile Upo Dar es salaam..

So ukinywa maji Sana Utaua FigoPia Maana Mwili utayatoa Nje Kwa Wingi
 
Pia Kunywa Maji Kulingana na Mazingira Ukienda Nchi Zenye Baridi au Mikoa Yenye Baridi sana Unywaji Wa Maji Kulingana na Uzito Wako Unabadilika .. maana Kama upo Kwenye baridi mwili hautoi Jasho Kama Vile Upo Dar es salaam..

So ukinywa maji Sana Utaua FigoPia Maana Mwili utayatoa Nje Kwa Wingi
Hebu fafanua vizuri huu unywaji wa maji kwa maeneo yenye baridi tafadhali.
 
Shikamoo bro!, mdogo wako ana 45yrs?.....ila Mimi nadhani hana tatizo watu wasipende kukimbilia hospitali kule hakuna mazuri. Mm nakumbuka mwaka juzi nikiwa Dodoma nilikuwa nakunywa hadi chupa 4 za Lita 1.5 kila moja hapo nikiwa kazini na nikifika nyumbani pia nilikuwa nakunywa mengine...ila nilikuwa nakojoa mara kwa mara sababu mwili wangu ulikuwa unajisikia joto sana. Mm najua hakuna shida hapo, kwasasa nmebadilisha mazingira pia hata kunywa maji nimepunguza sana.....huyo mdogo wako hana shida kabisa, asiendekeze kwenda hospitali wakati haumwi.....Hospitali haidhihakiwi!
 
Mkuu drappohkishimbo kwanini umesema ataua figo? Nimekua nikiamini kunywa maji mengi huirahisishia vigo kazi ya kuchuja taka. Imekaaje hiyo mkuu?
figo itatoa maji yaliyozid kila dakika sasa itachoka kufanya kaz kila mda kunywa maji kutokana na uzito wako au kunywa lglas nane kwa siku kukojoa usizidishe mara kumi kwa siku japo kuna mazingira kama kunywa pombe na barid huenda ukazidisha ni sawa
 
Mimi nlikuwa na tatizo la mawe kwenye figo nlipokwenda pata matibabu doctor akanishaur ninywe maji yasipungue lita 3 kwa cku na nna uzito wa kilo 60..ina maana naweza pata tatizo lengine?
 
Ukiwa dar na unakunywa maji kila saa,itatokea maji yale kukausha chumvi iliyopo mwilini na pia kuumiza figo.
 
Mimi nlikuwa na tatizo la mawe kwenye figo nlipokwenda pata matibabu doctor akanishaur ninywe maji yasipungue lita 3 kwa cku na nna uzito wa kilo 60..ina maana naweza pata tatizo lengine?

Kama daktari wa uchochoroni nenda sasa kwa hospitali ya serikali alafu skiza majibu
 
Kama daktari wa uchochoroni nenda sasa kwa hospitali ya serikali alafu skiza majibu
Kweli mkuu!ckuenda hospital ya serikali..nlienda kwa jamaa wa tiba mbadala,ila walinipa dawa ikasaidia kuondoa mawe..na nikaenda muhimbili nkaambiwa hamna mawe tena..na kabla ya hapo nlifanya kipimo muhimbili ndo nkagundulika na tatizo hilo
 
Ndugu usiogopa hakuna ugonjwa hapo kama anaona hali ya kawaida ni Sawa tu. Usitishike kwenda haja dogo Mara Kwa Mara
 
Ukitaka kujua mahitaji yako ya maji fanya tumia hesabu hii chukuwa uzito wako zidisha kwa 67% then utajua kiasi cja maji mwili wako unahitaji par day au tumia chart hii.

Screenshot_2017-01-08-17-27-43.png
 
Figo hufanya kazi ya kuondoa maji ya ziada mwilini na kunywa maji mengi kupita kiasi ni ku- overwork figo. Kunywa maji kukata kiu. Jarida moja la sayansi ls marekani nolilospma lilionya juu ya maneno ya mitaani ya kunywa maji mengi kupita kiasi. Fuata ushauri wa daktari!
 
Back
Top Bottom