Huku niliko (Kyela), watu wanachemsha mchele, baada ya hapo wana uanika ukikauka wanautafuna.
kutafuna mchele kuna faida inaongeza nguvu za kiume na hasa kwa wale bao la kuku dakika 2 hii huwasaidia kuhimili mpaka dakika10.Habari madaktari wa jf.. nina mdogo wangu (miaka 10) anapenda sana kutafuna mchele ambao haujapikwa,nikimkataza anarudia tabia yake tena kwa siri,naona kashakuwa addicted na hii kitu, je madhara ya kutafuna mchele na kumeza ni nini?
kutafuna mchele kuna faida inaongeza nguvu za kiume na hasa kwa wale bao la kuku dakika 2 hii huwasaidia kuhimili mpaka dakika10.
Ya kweli hayo mkuu???