Nini madhara ya kutafuna mchele?

Nini madhara ya kutafuna mchele?

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,102
Habari madaktari wa jf.. nina mdogo wangu (miaka 10) anapenda sana kutafuna mchele ambao haujapikwa,nikimkataza anarudia tabia yake tena kwa siri,naona kashakuwa addicted na hii kitu, je madhara ya kutafuna mchele na kumeza ni nini?
 
1 kuvimba mashavu kama paka mwizi!
2 minyoo!
3 safura!
 
mchele wa kuloweka mixa sukari...we!...utamu wake ni kama kuwatoa magamba madarakani!
 
Huku niliko (Kyela), watu wanachemsha mchele, baada ya hapo wana uanika ukikauka wanautafuna.
 
Habari madaktari wa jf.. nina mdogo wangu (miaka 10) anapenda sana kutafuna mchele ambao haujapikwa,nikimkataza anarudia tabia yake tena kwa siri,naona kashakuwa addicted na hii kitu, je madhara ya kutafuna mchele na kumeza ni nini?
kutafuna mchele kuna faida inaongeza nguvu za kiume na hasa kwa wale bao la kuku dakika 2 hii huwasaidia kuhimili mpaka dakika10.
 
kutafuna mchele kuna faida inaongeza nguvu za kiume na hasa kwa wale bao la kuku dakika 2 hii huwasaidia kuhimili mpaka dakika10.

thanks kwa info yako cc Matola
 
Last edited by a moderator:
huwa tunachemsha mpunga ule uliotoka kuvunwa ndio unakobolewa sio kuchemsha mchele
 
Back
Top Bottom