Nini madhara ya kuwa na damu nyingi?

Nini madhara ya kuwa na damu nyingi?

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
1,286
Reaction score
1,328
Habari Jf Dr?

Hivi majuzi nilipatwa na shida ikabidi nikimbizwe hospital haraka. Haraka nikapigwa drip bila hata vipimo. Wakati nipo kitandani ndipo utaratibu wa kuchukua damu kwa ajiri ya vipimo ukaanza. Hata hivyo hakuna damu iliyopatikana na kukawa na wasisi kwamba sina damu mwilini. Ikabidi watumie njia ya kunichoma kidole ili kuona kama kuna damu. Baada ya kupima wakaona Nina damu nyingi kuliko kawaida(HB).

Nikaskia wanasema hii nayo ni shida! Kipimo kilionesha HB 19! wakati kawaida inapaswa kuwa 15 kwa mwana mume.

Sasa naomba kujua ni nini madhara ya kuwa na damu (HB) nyingi kuliko kawaida?

Asante.

-Jodeo-
 
Aliyo kwambia ni 15 ni nani? Hebu soma tena vzr
Mimi siyo daktari ndo maana nauliza. Hicho nilichoandika ndicho nilichosikia na kuona pia!
 
Madhara yapo kama vile kizunguzungu, maumivu ya kichwa n.k
 
Back
Top Bottom