O oisso New Member Joined Jun 11, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jun 19, 2012 #1 mi ni kijana mwenye umri miaka 23, je nini madhara ya kutumia gomba kwa muda mrefu? nisaidieni katika hili.
mi ni kijana mwenye umri miaka 23, je nini madhara ya kutumia gomba kwa muda mrefu? nisaidieni katika hili.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jun 19, 2012 #2 Unaishi R Chugga.? Unakaa na taxima mdomoni kwa muda gani? Unatumia Rubesa ngapi kwa siku? nijibu hayo maswali kwanza.
Unaishi R Chugga.? Unakaa na taxima mdomoni kwa muda gani? Unatumia Rubesa ngapi kwa siku? nijibu hayo maswali kwanza.