Nini madhara ya mirungi (gomba)

Nini madhara ya mirungi (gomba)

oisso

New Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
4
Reaction score
0
mi ni kijana mwenye umri miaka 23, je nini madhara ya kutumia gomba kwa muda mrefu? nisaidieni katika hili.
 
Unaishi R Chugga.?
Unakaa na taxima mdomoni kwa muda gani?
Unatumia Rubesa ngapi kwa siku?
nijibu hayo maswali kwanza.
 
Back
Top Bottom