specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Ndugu zangu, habari....
Nataka kupunguza uzito wa mwili wangu,kiufupi nina uzito wa ziada wa kilo takribani 20 hivi...
Sasa katika pita pita zangu kwenye website ya Kaymu nikakutana na dawa hizi. .....
Nimetamani kuzinunua ila nina mashaka na usala wake na madhara ninayoweza kuyapata....
Naaam!nimezileta hapa jukwaani kwa anayezijua anipe elimu juu ya hizi dawa,pia naomba ushauri wa kitaalamu juu ya madhara ninayoweza kuyapata kwa kutumia hizi dawa....
Nashukuru na karibuni.