Nini Madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini?

Nini Madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini?

CleverKING

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
8,502
Reaction score
25,470
Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu, Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini,

Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa kujichora mwilini, mwenye kujichora mwilini tattoo basi hata sala zake huwa hazikubaliwi..

Tufunguke na madhara yake kwa kila mwenye uelewa.

Karibuni.
 
Biblia takatifu nayo inakataza kujichora au kutia alama yo yote mwilini
Hivi imeandikwa kwenye mambo ya walawi kama sikosei uchoraji wa alama mwilini na kujipiga chale pia
 
Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu,
Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini,

Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa kujichora mwilini,mwenye kujichora mwilini tattoo basi hata sala zake huwa hazikubaliwi..

Tufunguke na madhara yake kwa kila mwenye uelewa...

Karibuni...

Na wale wanaojichora kwa hina?
 
Jambo linalokatazwa na Mwenyezi Mungu lazima litakuwa na madhara kwa mfano kama kula nyama ya nguruwe au ulevi.

Mbona waislam mnapaka hina!!!,ile sio michoro??????
 
Jambo linalokatazwa na Mwenyezi Mungu lazima litakuwa na madhara kwa mfano kama kula nyama ya nguruwe au ulevi.

Embu nipe madhara ya kula wanyama wasio na kwato na samaki wasio na magamba.
 
.. mzenjiboy hata nyama ya ngamia pia hairuhusiwi
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu,
Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini,

Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa kujichora mwilini,mwenye kujichora mwilini tattoo basi hata sala zake huwa hazikubaliwi..

Tufunguke na madhara yake kwa kila mwenye uelewa...

Karibuni...
Hata kitabibu mtu mwenye tattoo mwilini haruhusiwi kuchangia damu kwa mgonjwa.
 
Biblia takatifu nayo inakataza kujichora au kutia alama yo yote mwilini

NDIO sema maandishi sikumbuki. ila nikuambie kitu.
majini yana alama zao wakilishi ambazo ukiweka hiyo alama basi lazima jini linalowakilishwa na alama hiyo likuvae. Mambo haya ni pamoja na kuchanja chale na yameanzia kwa waganga. hii ipo ulimwenguni kote. mfano majini ya ngono CHUNGUZA MATATOO YA Wale wanawake wanaojiuza. pia mwanamke yeyote aliojichanya tatoo muangalie vizuri utangundua katabia fulani ka ajabu. ila kua makini mana wale wanakua na mvuto wa kijini na utakuta unamtaka baada ya kuona hiyo tatoo. WANAUME WENGI WAJINGA WANASEMA ATI ZINAONGEZA HAMASA. ILA SIO NZURI 100%
 
“Msiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja chale juu ya ngozi za miili yenu.Mimi ni Bwana” (mambo ya walawi 19:28 ).
TENA OGOPA MAANDISHI KATIKA BIBLIA YANAYOANZA AU KUISHA NA NENO " mimi ni bwana" au "asema bwana" NI KAULI YA MUNGU DIRECTLY YANI AGIZO LA MOJA KWA MOJA
 
Back
Top Bottom