CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu, Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini,
Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa kujichora mwilini, mwenye kujichora mwilini tattoo basi hata sala zake huwa hazikubaliwi..
Tufunguke na madhara yake kwa kila mwenye uelewa.
Karibuni.