CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Jambo linalokatazwa na Mwenyezi Mungu lazima litakuwa na madhara kwa mfano kama kula nyama ya nguruwe.
Hivi imeandikwa kwenye mambo ya walawi kama sikosei uchoraji wa alama mwilini na kujipiga chale piaBiblia takatifu nayo inakataza kujichora au kutia alama yo yote mwilini
Msiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja chale juu ya ngozi za miili yenu.Mimi ni Bwana (mambo ya walawi 19:28 ).
Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu,
Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini,
Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa kujichora mwilini,mwenye kujichora mwilini tattoo basi hata sala zake huwa hazikubaliwi..
Tufunguke na madhara yake kwa kila mwenye uelewa...
Karibuni...

Jambo linalokatazwa na Mwenyezi Mungu lazima litakuwa na madhara kwa mfano kama kula nyama ya nguruwe au ulevi.

Mbona waislam mnapaka hina!!!,ile sio michoro??????
Mkuu niaje!
Hata kitabibu mtu mwenye tattoo mwilini haruhusiwi kuchangia damu kwa mgonjwa.Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu,
Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini,
Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa kujichora mwilini,mwenye kujichora mwilini tattoo basi hata sala zake huwa hazikubaliwi..
Tufunguke na madhara yake kwa kila mwenye uelewa...
Karibuni...
Hata kitabibu mtu mwenye tattoo mwilini haruhusiwi kuchangia damu kwa mgonjwa.
Biblia takatifu nayo inakataza kujichora au kutia alama yo yote mwilini
Hata kitabibu mtu mwenye tattoo mwilini haruhusiwi kuchangia damu kwa mgonjwa.
TENA OGOPA MAANDISHI KATIKA BIBLIA YANAYOANZA AU KUISHA NA NENO " mimi ni bwana" au "asema bwana" NI KAULI YA MUNGU DIRECTLY YANI AGIZO LA MOJA KWA MOJAMsiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja chale juu ya ngozi za miili yenu.Mimi ni Bwana (mambo ya walawi 19:28 ).
Jambo linalokatazwa na Mwenyezi Mungu lazima litakuwa na madhara kwa mfano kama kula nyama ya nguruwe au ulevi.
Na wale wanaojichora kwa hina?