Nini mahusiano kati ya AKILI na MOYO ktk Mapenzi?


Asante mkuu sazira kwetu
 
Last edited:
Wasanii, wahenga na wanasaikolojia wametumia nguvu nyingi sana kujaribu kuelezea love\kupenda.
Lakini ktk biology Mapenzi ni Chemicals tu.

Haponi ubongo, adrenalin gland,moyo, na damu

Chemical hizi tatu ndio ziko nyuma ya kile tunachokiita maumivu ya mapenzi.
1:adrenaline
2:epinephrine
3:norephinephrine inadeal na stress na inakusababishia udhaifu kbs na hasa magoti kukosa nguvu.
4:dopamine = inaadeal na addiction na uteja
Kama moyo wako ni mdhaifu Unaweza hadi kufikia hatua ya kufa.
HaSa kwa watu wazima ambao umri umeenda, mishipa ya damu imezibaziba na uhitaji Wa oxygen unapokuwa mkubwa .

Pia kuna sehemu tatu KTK UBONGO zinazodeal na Romantic LOVE
1:sex drive - hii unakifanya upende kuwa na Wapenzi weñgi
2:love - hii inakufanya na kukupa nguvu ya kufanya mapenzi kwa wakati.
3:attachment==hii ni sehemu ya ubongo inayokupa uwezo Wa kumvumilia mwenza.

Mapenzi pia yamethibitisha mtu kuwa na mpenzi unakUfanya kuwa energetic,focused and motivated.
Mwanaume alieyoa anadvantage ya kuongeza miaka saBa zaidi na mwanamke miaka miwili zaidi. Hii ni kwa
Mujibu Wa journal demography.
Inafaida kwa watu waliOFIKIa hatua ya kutokufanya mapenzi pia.

Maelezo mazuri haya yametolewa na Hellen Fisher, professor Wa rutgers university.
Na mWandishi Wa kitabu cha why her?why Him
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…