Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wakuu Kwema?

Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa.

Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe?

Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda?

Mwenye kufahamu hili msaada please.
 
Samia Suluhu Hassan ni Rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto

Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika

Urais ni Ofisini
 
Kupika ni jambo hatarishi kwa usalama wake.

Huyo mume bwana Hafidh atakula vya wengine tu hadi pale urais utakapo koma
Ila tukiangalia kwa jicho la tatu, ikulu ya Tanzania kwasasa si sehemu salama sana, intelligence ya Tz imeonyesha udhaifu mkubwa sana katika sakata la kuugua kwa aliyekuwa Rais. Nina Wasiwasi ndani ya USALAMA WA TAIFA kuna mapandikizi hatari sana.
 
Ana bahata mumewe sio wa kanda ile..maana wanaume wa kanda ile bwana...ukiwa na pesa mwanamke basi ukoo mzima unakujadili ...wanataka kunyenyekewa kuonekana wafalme na huku hawana hiyo "hazi"
Unvanzile segito?Ila mnawapenda hivyohivyo!Unapewa mfueni halafu unaenda kuchunga ng'ombe kwa nguvu😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom