Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Wakuu Kwema?

Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa.

Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe?

Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda?

Mwenye kufahamu hili msaada please.
Kwani majukumu ya wake wa Rais yako vipi? Kwani kazi na majukumu ya Rais mwanamme yanatofautiana na majukumu ya Rais wa kike? Kila ambacho wake wa Rais walikuwa wanafanyiwa na kufanya ikiwa pamoja na kulindwa basi na mume wa Rais atafanyiwa na atafanya vile vile.

Mbele ya taifa mke ndio atakuwa powerful na maamuzi ya mwisho, wakiwepo nyumbani na faragha zao huko ni hiari yao lakin mume anabaki kuwa head of the house and family.
 
Habari wakulungwa,

Kuuliza sio ujianga, naomba kuuliza mume wa Rais wetu mpya Mama samia je kitaalamu ataitwa First Gentleman na atakuwa na majukumu ya kinchi kama inavyokuwa kwa first ladies?
 
Kwani majukumu ya wake wa rais yako vipi? Kwani kazi na majukumu ya rais mwanamme yanatafautiana na majukumu ya rais wa kike? Kila ambacho wake wa rais walikuwa wanafanyiwa na kufanya ikiwa pamoja na kulindwa basi na mume wa rais atafanyiwa na atafanya vile vile. Mbele ya taifa mke ndio atakuwa powerful na maamuzi ya mwisho, wakiwepo nyumbani na faragha zao huko ni hiari yao lakin mume anabaki kuwa head of the house and family.
So itakua HEAD OF HOUSE V/S HEAD OF COUNTRY including that house.
 
Sasa umpate first Gentleman mzee wa vitu thetu...... aisee atasumbua watu wa usalama huyoooo - mara Tandare mara mabibo mara wazo hill, mara kigamboni.. anabadilisha mi bar....
 
Huyo
FB_IMG_1616155145036.jpg
 
Samia Suluhu Hassan ni rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto

Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika

Urais ni Officin
Na hata mwenyewe huwa anasema
 
Sema ,chumba kinaweza kuwa kidogo kama Mh.Rais Samia Suluhu ataanza mambo ya kulala na Mafaili kama ilivyokuwa kwa bosi wake wa zamani
Kwa kulala na mafaili maaana yake unapata muda mzuri wa kuyatafakari madokezo. Sijui wewe kiupande wako kazi yako, ila hizi kazi za kiserekali fail huwa linakua na madokezo unakua unasoma ushauri uliomo. Kurelax na fail hata mimi napenda, napata muda mzuri najiegama kitandani, naunga kahawa yangu na maziwa usiku sana muda ambao dunia kimyaa ndio naaanza kuyasoma nakuwa nimerelax.

Sasa hapo unapata mawazo mapya unakaa unasoma unasema kwa nini hili limependekezwa hivi?? Kwa nini isiwe hivi asubuhi unavyotoa mafail na comment zako kwa utekelezaj,na wewe unakuwa unayanote yaende yakafanyiwe kazi kwenye ka note book chako. Sasa ole wake agizo liwe halijafanyiwa kazi, naituma timu yangu kupepeleza baadae naletewa ripot, naituma timu ya pili naletewa ripot na kila anayekwamisha nakula vichwa
 
Majukumu ya mume ni kumtunza mke bila kujalisha ana position gani. Baba akiamua Leo mtakula makande mtakula tu, hata uwe rais lazima umtii mumeo
Bujibuji banaa... hayo uliyoyaandika, hata asiye First Gentleman anayafanya... Yeye ametaka kujua, kwenye nafasi hiyo, kuna cha pekee..!?
 
Samia Suluhu Hassan ni rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto

Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika

Urais ni Officin
Rais ni mali ya Umma. Hakuna wakati anakoma kuwa Rais, huyo mme wake asubiri akimaliza urais tutamrudishia mke wake. Kama haamini siku moja huyo mzee ajaribu kumtia kofi 😁 😁 😁 ndio atajua kama huyo ni mkewe au Rais.
 
Kile kile alichokuwa anafanya Mama akiwa Makamu wa Rais.
 
Ana bahata mumewe sio wa kanda ile..maana wanaume wa kanda ile bwana...ukiwa na pesa mwanamke basi ukoo mzima unakujadili ...wanataka kunyenyekewa kuonekana wafalme na huku hawana hiyo "hazi"
Ubabe usio na maana tena pesa ya mke lakini anataka uwe kama panya alimwagiwa maji, ubishi hata umshauri jambo haelewi mpaka liharibike utaona meno tu[emoji16] jua kimebuma huko

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom