Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mume wa aina hiinraha mnoo hata kama hana hela anaendelea kukuchekesha . Wengine sasa asikatize hata mbuzi wa jiranj kwa shamba lako atamaliziwa hasira yy
[emoji23][emoji23][emoji23] wakati mshahara wake anaujua na matumizi yake kayatumia mwenyewe

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hivi akishika ujauzito, atajisikilizia kwanza kipindi hiko majukumu yote atafanya makamu wake au vipi???? , na mtoto akizaliwa itabidi aitwe Tanzania kwani itakuwa ndiyo kumbukumbu pekee ya kwanza kwa Tanzania kuanzishwa
Haaa haaa jamani umri wake huo zaidi ya 60 watoto wa nini yeye kwasasa ni wajukuu tu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hivi akishika ujauzito, atajisikilizia kwanza kipindi hiko majukumu yote atafanya makamu wake au vipi???? , na mtoto akizaliwa itabidi aitwe Tanzania kwani itakuwa ndiyo kumbukumbu pekee ya kwanza kwa Tanzania kuanzishwa
Mh. ana Kama 60 years hivi
 
Ila tukiangalia kwa jicho la tatu, ikulu ya Tanzania kwasasa si sehemu salama sana, intelligence ya Tz imeonyesha udhaifu mkubwa sana katika sakata la kuugua kwa aliyekuwa Rais. Nina Wasiwasi ndani ya USALAMA WA TAIFA kuna mapandikizi hatari sana.
TISS ya sasa ni imara mno ndugu..... ndio maana wote tulikuwa tunafoji majibu!

Mungu ibariki Tanzania...
Mungu mpe maono Mama Samia!
 
Samia Suluhu Hassan ni rais mtendaji na kiongozi mkuu wa serikali lakini haimuondolei kuwa mke kwa mume wake na mama kwa watoto

Majukumu ya mume kwa Samia yapo palepale na majukumu ya Samia kwa mume hayajabadilika

Urais ni Officin
Mengi ya mtoa hoja hujayajibu.Nate ataenda na mke wake kila mahali? nk
 
Ila tukiangalia kwa jicho la tatu, ikulu ya Tanzania kwasasa si sehemu salama sana, intelligence ya Tz imeonyesha udhaifu mkubwa sana katika sakata la kuugua kwa aliyekuwa Rais. Nina Wasiwasi ndani ya USALAMA WA TAIFA kuna mapandikizi hatari sana.
Sasa Magu wangemshauri nini akawaelewa.Lile lilikuwa jiwe kweli kweli.
 
Ila tukiangalia kwa jicho la tatu, ikulu ya Tanzania kwasasa si sehemu salama sana, intelligence ya Tz imeonyesha udhaifu mkubwa sana katika sakata la kuugua kwa aliyekuwa Rais. Nina Wasiwasi ndani ya USALAMA WA TAIFA kuna mapandikizi hatari sana.
Kweli kabisa.Nilianza kuona hilo kwenye ziara ya mwisho ya Magufuli, alikuwa anakohoa sana lakini sidhani kama walichukulia serious. Yaani mpaka Rais anazidiwa anakimbizwa hospital wao wako wapi siku zote? Daktari wake alikuwa wapi siku zote?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Kwema?

Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa....
Kwani majukumu ya first Lady unayajua mzee baba?
 
Back
Top Bottom