Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Kama First lady alishughulika na haki za wanawake,
Nadhani first gentleman atapigania haki za wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo yashakua mengi[emoji16][emoji16]

Kingsmann
IMG-20210319-WA0022.jpg
View attachment 1729398

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni funny kuliko huyo UjiUji, just try me na utajuta kuchelewa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...mume wa aina hiinraha mnoo hata kama hana hela anaendelea kukuchekesha . Wengine sasa asikatize hata mbuzi wa jiranj kwa shamba lako atamaliziwa hasira yy
 
Ni kumtunza na kumpa moyo wa kutekeleza majukumu yake. Bwana anavyojitahidi kujenga familia bora na mke (Raisi) ataweza kujenga taifa bora. Bwana ni muhimu kumjenga mke wake kisaikologia.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mume atakapoamua kukutana na Mkewake lazima TISS wamzuie mpaka wapate Ruhusa kutoka Mh. Raisi, pia lazima Wamkague/Wamsachi mume kabla ya kukutana na Mke wake ambaye ni Raisi.

Hizi ni Protocol za Kiusalama.
Kwani huwa hawalali kitanda kimoja kila siku???
Chakula cha taifa kuliwa huwa ni automatically tu
 
Hivi akishika ujauzito, atajisikilizia kwanza kipindi hiko majukumu yote atafanya makamu wake au vipi???? , na mtoto akizaliwa itabidi aitwe Tanzania kwani itakuwa ndiyo kumbukumbu pekee ya kwanza kwa Tanzania kuanzishwa
 
Back
Top Bottom