Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

EOTF ya mama Mkapa ilifanya vizuri sana kuliko mke yeyote wa rais
 
Hamkosi maneno, akiambatana nae mtaanza kusema 'marioo'
 
Kwa muongozo huu naomba sasa DJ awalete jukwaani mods watufungie shughuli yetu.
Kumbuka Rais ni Icon yetu kama Taifa.
Kama mwenza wake anayo ofisi kwenye ofisi za Ikulu basi siyo kosa kuulizia uwepo wake.

Inawezekana hili linawakera watu fulani ambao wamepewa ile A.K.A ya wale wadudu wasumbufu kwenye nywele zetu
 
Kidogo hii inaweza kuwa hoja sabili.

Lakini pale Ikulu kuna ofisi ya Mwenza wa Rais.

Isije ikatokea watu wabaya wakapitia kwake na kuleta changamoto kwenye Taasisi ya Rais.

Wataalam wa sheria wanalionaje hili!
Wajuaji watatupa jibu...
 
Kumbuka Rais ni Icon yetu kama Taifa.
Kama mwenza wake anayo ofisi kwenye ofisi za Ikulu basi siyo kosa kuulizia uwepo wake.

Inawezekana hili linawakera watu fulani ambao wamepewa ile A.K.A ya wale wadudu wasumbufu kwenye nywele zetu

Mkuu, kwa taarifa yako tu ni kwamba. Kuna Rais Zanzibar hakuishi nyumba maalum ya Rais pale Kilimani akaenda zake Mbweni. Hao ndio wazanzibari.
Sasa hapo pima kama hao kupe kati ya rais wa Zanzibar na Mme wa Rais, ipi inawakera zaidi?
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…