Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Asili ya dini ya Kiislam, mume ndio kiongozi na mke ndio anatakiwa kufata maelekezo ya mume. Kwahiyo mume hatakiwi kabisa kumfata mama bali mama ndio anatakiwa kumfata Mume. Mume akianza kumfuata mama kila alipo atakua anaenda tofauti na imani ya Kiislam.

Arrijaal Qauwaamunna alaa Nisai
Daah mama yetu anakutana na vikwazo vingi sana vya mfumo dume; kuanzia imani, uje kwenye utamaduni kisha mazingira ya umasikini na opportunity kuwa siyo nyingi huku wanaotaka hizo fursa ni wengi so they have to fake their characters...Mungu mpe nguvu huyu mama, ni kwa kudra zako tu atafika alikopanga kufika
 
Wanajamvi Umofia kwenu.

Mume wa Rais ni public figure kama ilivyo First Lady. Mara ya mwisho kumuona First Gentleman ilikuwa wakati Rais SSH akihutubia Bunge letu (tukufu)

Je, majukumu anayokuwa nayo First Lady yanashabihiana na majukumu ya First Gentleman?

Lakini hatumuoni hata kuongozana tena na Mama yetu kwenye safari za kiserikali nje ya Tanzania.

Kulikoni First Gent haonekaniki tena?
Anamajukumu ya kulea familia

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Wanajamvi Umofia kwenu.

Mume wa Rais ni public figure kama ilivyo First Lady. Mara ya mwisho kumuona First Gentleman ilikuwa wakati Rais SSH akihutubia Bunge letu (tukufu)

Je, majukumu anayokuwa nayo First Lady yanashabihiana na majukumu ya First Gentleman?

Lakini hatumuoni hata kuongozana tena na Mama yetu kwenye safari za kiserikali nje ya Tanzania.

Kulikoni First Gent haonekaniki tena?
Hicho cheo cha First lady kiliibuka tu enzi za upigaji na hasa enzi za Kikwete, hakina uhalali wowote zaidi ya wanaokishabikia kuwa kama kupe tu. Mr afanye kazi zake halali amwache Chief Hangaya ongoze nchi.
 
Wanajamvi Umofia kwenu.

Mume wa Rais ni public figure kama ilivyo First Lady. Mara ya mwisho kumuona First Gentleman ilikuwa wakati Rais SSH akihutubia Bunge letu (tukufu)

Je, majukumu anayokuwa nayo First Lady yanashabihiana na majukumu ya First Gentleman?

Lakini hatumuoni hata kuongozana tena na Mama yetu kwenye safari za kiserikali nje ya Tanzania.

Kulikoni First Gent haonekaniki tena?

First Lady ni mke mdogo ni vema ukalitambua hili kwanza
 
Kabisa....Una nyanyasa wanawake ki jinsia kwakua mifumo hii iliwekwa na wanaume kwa matumizi yao binafsi...Tunahitaji kuweka hili vizuri kuwa promote raia wetu wa jinsia ya kike
Nani kakuambia uzi unanyanyasa wanawake? Huko ni kujishtukia tu, maandiko matakatifu yalisema utenganifu huu kati ya mwanamke na mwanaume, hayakusema kuwa yalikuwa yanamdhalilisha mwanamke, hizi ni propaganda za kimagharibi.
 
Wazanzibari hawana makuu, na vilevile sio watu wa kupelekeshwa.

Kuna siku askari wa usalama barabarani kamsimamisha dereva wa daladala anamwambia afike kituoni pale Malindi, dereva kamwambia usinizonge bwana, hizo sheria tu hata mimi nnazo kwa mke wangu, tangulia kituoni ntakuja.

Nikasema hapa ingekua Bongo ndugu zake wangekua wanamtafuta vituo vya polisi.
Halafu Wazanzibar wana maneno ya kejeli kweli ,kuna siku nilikuwa kwenye chai maharage yao,kuna jamaa kama alilewa akaanza kutamba mle kwenye chai maharage na kusema mnanijua mimi ni nani, mzee mmoja wa makamo akamjibu wewe si ni manii tu ya babaako pumbavu, watu wote tukapigwa na butwaa na jamaa akawa mdogo kama pilitoni, hali ikarudi salama na tukaendelea na safari kwa raha mustarehe.
 
Wanajamvi Umofia kwenu.

Mume wa Rais ni public figure kama ilivyo First Lady. Mara ya mwisho kumuona First Gentleman ilikuwa wakati Rais SSH akihutubia Bunge letu (tukufu)

Je, majukumu anayokuwa nayo First Lady yanashabihiana na majukumu ya First Gentleman?

Lakini hatumuoni hata kuongozana tena na Mama yetu kwenye safari za kiserikali nje ya Tanzania.

Kulikoni First Gent haonekaniki tena?
Nani atalea watoto n.k.
 
Ila hii nayo imekaaje sijui! Eti mwanaume umfuate mkeo kila anakoenda[emoji1787]
 
Bwana Hafidh Siyo Mtu Wa Mambo Mengi
Dini Haitaki Awe Anajilegeza
Ajitokeze ki vyakevyake basi, hata kutembelea watoto yatima na kutoa misaada kwa wenye uhitaji. Rasmi analo fungu lake.
 
Ajitokeze ki vyakevyake basi, hata kutembelea watoto yatima na kutoa misaada kwa wenye uhitaji. Rasmi analo fungu lake.
Kutembelea Vituo Ni Zabayanga Tu
Dini Ya Haki Haitaki Kujitangaza
 
Back
Top Bottom