The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Maza kazidi na uanaharakati wa Kijinsia ...... Mpemba hawezi kukubali hilo!Hakuwepo. Au ndoa ishakufa labda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maza kazidi na uanaharakati wa Kijinsia ...... Mpemba hawezi kukubali hilo!Hakuwepo. Au ndoa ishakufa labda.
Hahaaàaaa Hahaààaaa kabisaa mkuuuTatizo la ngulumbili, akionekana sana mtasema ooh anaonekana sana, sasa asipoonekana ohhh haonekani
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Daah mama yetu anakutana na vikwazo vingi sana vya mfumo dume; kuanzia imani, uje kwenye utamaduni kisha mazingira ya umasikini na opportunity kuwa siyo nyingi huku wanaotaka hizo fursa ni wengi so they have to fake their characters...Mungu mpe nguvu huyu mama, ni kwa kudra zako tu atafika alikopanga kufikaAsili ya dini ya Kiislam, mume ndio kiongozi na mke ndio anatakiwa kufata maelekezo ya mume. Kwahiyo mume hatakiwi kabisa kumfata mama bali mama ndio anatakiwa kumfata Mume. Mume akianza kumfuata mama kila alipo atakua anaenda tofauti na imani ya Kiislam.
Arrijaal Qauwaamunna alaa Nisai
wivuWe una shida gan? shida yako nini.
Anamajukumu ya kulea familiaWanajamvi Umofia kwenu.
Mume wa Rais ni public figure kama ilivyo First Lady. Mara ya mwisho kumuona First Gentleman ilikuwa wakati Rais SSH akihutubia Bunge letu (tukufu)
Je, majukumu anayokuwa nayo First Lady yanashabihiana na majukumu ya First Gentleman?
Lakini hatumuoni hata kuongozana tena na Mama yetu kwenye safari za kiserikali nje ya Tanzania.
Kulikoni First Gent haonekaniki tena?
Hicho cheo cha First lady kiliibuka tu enzi za upigaji na hasa enzi za Kikwete, hakina uhalali wowote zaidi ya wanaokishabikia kuwa kama kupe tu. Mr afanye kazi zake halali amwache Chief Hangaya ongoze nchi.Wanajamvi Umofia kwenu.
Mume wa Rais ni public figure kama ilivyo First Lady. Mara ya mwisho kumuona First Gentleman ilikuwa wakati Rais SSH akihutubia Bunge letu (tukufu)
Je, majukumu anayokuwa nayo First Lady yanashabihiana na majukumu ya First Gentleman?
Lakini hatumuoni hata kuongozana tena na Mama yetu kwenye safari za kiserikali nje ya Tanzania.
Kulikoni First Gent haonekaniki tena?
Wanajamvi Umofia kwenu.

Bahati mbaya siyo kudra. Chagua maneno.bahati mbaya😎
Nani kakuambia uzi unanyanyasa wanawake? Huko ni kujishtukia tu, maandiko matakatifu yalisema utenganifu huu kati ya mwanamke na mwanaume, hayakusema kuwa yalikuwa yanamdhalilisha mwanamke, hizi ni propaganda za kimagharibi.Kabisa....Una nyanyasa wanawake ki jinsia kwakua mifumo hii iliwekwa na wanaume kwa matumizi yao binafsi...Tunahitaji kuweka hili vizuri kuwa promote raia wetu wa jinsia ya kike
Si uliona walisafiri na wenza wao.
Wewe.Nani kakudanganya ?Hata bibi wa miaka 90 kama hana tatizo la kiafya anabanjuka vizuri tu.
Halafu Wazanzibar wana maneno ya kejeli kweli ,kuna siku nilikuwa kwenye chai maharage yao,kuna jamaa kama alilewa akaanza kutamba mle kwenye chai maharage na kusema mnanijua mimi ni nani, mzee mmoja wa makamo akamjibu wewe si ni manii tu ya babaako pumbavu, watu wote tukapigwa na butwaa na jamaa akawa mdogo kama pilitoni, hali ikarudi salama na tukaendelea na safari kwa raha mustarehe.Wazanzibari hawana makuu, na vilevile sio watu wa kupelekeshwa.
Kuna siku askari wa usalama barabarani kamsimamisha dereva wa daladala anamwambia afike kituoni pale Malindi, dereva kamwambia usinizonge bwana, hizo sheria tu hata mimi nnazo kwa mke wangu, tangulia kituoni ntakuja.
Nikasema hapa ingekua Bongo ndugu zake wangekua wanamtafuta vituo vya polisi.
Nani atalea watoto n.k.Wanajamvi Umofia kwenu.
Mume wa Rais ni public figure kama ilivyo First Lady. Mara ya mwisho kumuona First Gentleman ilikuwa wakati Rais SSH akihutubia Bunge letu (tukufu)
Je, majukumu anayokuwa nayo First Lady yanashabihiana na majukumu ya First Gentleman?
Lakini hatumuoni hata kuongozana tena na Mama yetu kwenye safari za kiserikali nje ya Tanzania.
Kulikoni First Gent haonekaniki tena?
Ajitokeze ki vyakevyake basi, hata kutembelea watoto yatima na kutoa misaada kwa wenye uhitaji. Rasmi analo fungu lake.Bwana Hafidh Siyo Mtu Wa Mambo Mengi
Dini Haitaki Awe Anajilegeza
Kutembelea Vituo Ni Zabayanga TuAjitokeze ki vyakevyake basi, hata kutembelea watoto yatima na kutoa misaada kwa wenye uhitaji. Rasmi analo fungu lake.