Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Una akili nyingi wewe, first gentleman aanzishe mfuko wa kina baba waliochoka.
 
Hizi ndio Thread WaTZ wanazifurahia, Maana wahenga wanasema "Wenye akili hujadili hoja, na wajinga hujadili watu"

Sasa hapa sijui tunajadili HOJA au MTU! Kazi kwenu mtajitofautisha wenyewe kwenye makaundi hayo mawili, wewe kama upo la kwanza au la pili. Sijatukana mtu hapa, tiki unaweka mwenyewe Namba 1 au 2.
 
Asa aongozane nae ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…