Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kabla cjatoa maoni, hebu nijue kwanza sababu hasa inayokufanya usikubaliane na hiyo ya wanaune kufunha uzazi
Swala zima lisemalo uzazi wa mpango ni kitu batili ktk maisha ya binadamu wote,haujawah kua mpango wa MUNGU ni mpango wa mzungu kuzuia Africa isipate watu wengi,na sababu kubwa ni tutakua na nguvu ya kiuchumi na yamkini tukakubaliana kuifanya Africa kua moja,kumbuka tuna mali nyingi ambazo tukizaa watoto wengi tutakua na nguvu ya kiutendaji na haijalishi tuwe tumesoma au hatujasoma,swala ni nguvu kaziKufuatia suala la uzazi wa mpango, sasa hivi kuna njia ya wanaume nao kupanga uzazi kwa kufunga kizazi na kuto kuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke. Unakuwa unaweza kufanya mapenzi tu pasipo uwezo wa kutia ujauzito.
Mimi kwa upande wangu sikubaliani na hicho kitu, labda kutumia njia nyingine za kupanga uzazi Na c kufunga kabisa.
Nini maoni yako?
Sidhani kama ni hivyo,but may be kuna mwingine hataki tena kuambiwa 'I don't see my period'Madness of rhe highest order.
Me sishaur yeyote kufunga kizaziFafanua. Kwa nini kwa wanawake ni mzuri lakini kwa wanaume mbaya?
Wewe ni mkatoliki? This is the safest way of birth control. Madawa yana madhara mengi sana.Me sishaur yeyote kufunga kizazi
Kwa hiyo umekaa ukafikiria hii pia haina madhara etWewe ni mkatoliki? This is the safest way of birth control. Madawa yana madhara mengi sana.
Haina madhara yoyote. Kama unajua weka hapa.Kwa hiyo umekaa ukafikiria hii pia haina madhara et
What is the definition of a man? If you are "castrated", can you still call yourself a man? In that house you live in, will there be a man and a woman or two women?Sidhani kama ni hivyo,but may be kuna mwingine hataki tena kuambiwa 'I don't see my period'
By definition a man is adult male human.What is the definition of a man? If you are "castrated", can you still call yourself a man? In that house you live in, will there be a man and a woman or two women?
Make note: To do vasectomy does not mean you don't do not able to perform sex.What is the definition of a man? If you are "castrated", can you still call yourself a man? In that house you live in, will there be a man and a woman or two women?
What is the difference from inserting a piece of wood in a woman's womanhood? If the issue is just inseting, then even fingerrs can be inserted, but, manhood was not made just for insertion and some vortex action.Make note: To do vasectomy does not mean you don't do not able to perform sex.
The issue is the man is able to do sex as normal but he is not able to impregnate a woman.
Machine kama kawa tu na goals kama Jana tu.
Think deep b4 you answer. You want to go round in circles like a man is a male adult human and vice versa.By definition a man is adult male human.
Not only inserting but also the man is enjoying doing sex the same as he was doing before surgery.No change at all.What is the difference from inserting a piece of wood in a woman's womanhood? If the issue is just inseting, then even fingerrs can be inserted, but, manhood was not made just for insertion and some vortex action.