Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kabla cjatoa maoni, hebu nijue kwanza sababu hasa inayokufanya usikubaliane na hiyo ya wanaune kufunha uzazi
Kwani akifunga mkeo si imetosha? Kwa nini kampeni za wanaume kufunga vizazi zimeanza recently na sio zamani sana? May be wanafanya experiment and anything can happen..