Ungekuwa unajua maana ya ugumba labda usingetumia hilo neno na ninafikiri hii mada hujaielewa. Kwanza nikukumbushe kuwa ugumba ni kutokuwa na mtoto. Hapa tunazungumzia kufunga kizazi baada ya kupata watoto unaowahitaji. Wewe ni masikini wa fikra.Kumbe ww unatetea kwa sabubu umeshakuwa mwanaume suruali alaaah nilikuwa sijajua et, kaaa na ugumba wako