Nini maoni yako, kuelekea uchaguzi, mambo yameharibika saaana kama alivyodai Mzee yule au ni kawaida?

Nini maoni yako, kuelekea uchaguzi, mambo yameharibika saaana kama alivyodai Mzee yule au ni kawaida?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam,

Chama kikubwa Cha upinzani ambacho killipata kura za urais zaidi ya 40% mwaka 2015 ambacho ni chama kikuu Cha upinzani Hadi sasa kutokuwepo kwenye uchaguzi sababu ya serikali ya chama Cha kijani kukataa reforms kufanyika Katika katiba yetu Ili kupata u
Tume huru ya uchaguzi.

Tujiulize maswali yafuatayo;

1. Kwa maoni yako, unadhani inawezekana kufanyika uchaguzi Katika mazingira haya magumu bila chama kikuu Cha upinzani kushiriki uchaguzi?

2. Na ikiwa jambo hili litaangaliwa na mamlaka zisizoonekana kuinfluence mabadiliko ya katiba yetu kupata Tume huru ya uchaguzi, je mabadiliko gani lazima yafanyike ndani ya chama Cha kijani?

3. Hadi hapa tulipo, mambo yameshavurugika sana kama alivyodai Mzee yule, au bado ni kawaida?

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Yaani bila CHADEMA, chama kikuu Cha upinzani nchini,

Patakuwa na uchaguzi?

Na haki ya wapigakura wa chama kikuu Cha upinzani itaachwa ipoteze kirahisi bila jambo Fulani la busara kufanyika kuwahuiasha?
 
1. Hakuna Uwezekano wa Kufanyika uchaguzi wa Kidemocrasia Kama mambo yakiendelea hivi, Labda wafanye Maigizo ya Uchaguzi.

2. Mabadiriko Ya lazima Yanayo takiwa huko CCM ni kuondolewa kwa Viongozi Waandamizi wa CCM walio kifikisha CHAMA na nchi hapa tulipo. Yes Ni muhimu kuwajibika kwa kuachia nafasi walizo nazo.

3. Mambo yameshafurugika saaana ni zaidi ya Alivofikiria yule mzeee. Na yanaedelea kuharibika.
 
Back
Top Bottom