Nini maoni yako kuhusu bati G30 hasa kwa mazingira ya pwani?

Nini maoni yako kuhusu bati G30 hasa kwa mazingira ya pwani?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Wakuu nimeona kuna gap la kama milioni moja kwa bei ya G30 na G28, je bati G30 haina shida?
 
Unajenga Pwani ni karibu na bahari? I think hazina shida Ila mafundi watatuambia.
 
Back
Top Bottom