Hilo ni goli kama magoli Mengine.
Magoli ya vichwa hayajaanza kufungwa leo..
Madrid wakiwa na Ramos na Pepe na walikuwa wanafungwa magoli ya vichwa.
Chelsea ya kina John Terry, Michael Essien, Gary Cahill , Ballack, yaani maroboti wote wanaoweza kupiga vichwa na walikuwa wanafungwa magoli ya vichwa.
Yes ni goli kama magoli mengine, Mistake and a goal is scored. Ili goli la kichwa lifungwe lazima kuwe na poor marking au mkabaji azidiwe kwenye kuwania mpira.
Kwani zimepigwa kona ngapi na faulo ndogo ngapi siku ya hiyo mechi?...
This is football.
mwishowe kinachokumbukwa score ni 1-1