Kama uchawi hivi,changa lamacho flani hivi.iliniuma sanaKwa kweli mm sijui vzr sheria za mpira ila kwa lile goli la jana hapana Kwa kweli n kama kuna kitu kilikuwa hakipo sawa mpaka muda mpira unapigwa , ninacho jua n Yanga tuna goli 1 hao Bamako wana 0.
Kumbe wee mwananchi....sasa jamani hapo sii mlitakiwa mkabe mpaka filimbi ya mwishoKwa kweli mm sijui vzr sheria za mpira ila kwa lile goli la jana hapana Kwa kweli n kama kuna kitu kilikuwa hakipo sawa mpaka muda mpira unapigwa , ninacho jua n Yanga tuna goli 1 hao Bamako wana 0.
Hilo ni goli kama magoli Mengine.Yanga hadi dakika ya 90 na sekunde kadhaa wakulikuwa wanaongoza kwa goli 1. Kona waliyopata AS Bamako ndo ikatia mchanga kwenye pilau.
Je, unadhani goli hili lilitokana na uzembe,wachezaji kudhani tayari kazi imeisha,uchovu kwa wachezaji au afisiwe mfungaji? Mi binafsi naona kulikuwa na "poor marking" wakati kona inapigwa.
Hapo chini nimeweka picha kuonyesha hatua kwa hatua jinsi goli lilivyofungwa.
Karibuni kwa mjadala.
View attachment 2531246View attachment 2531248View attachment 2531249View attachment 2531250View attachment 2531251View attachment 2531252
Sio kwamba wanatazama mpira tuu. Hapo yanga wanafanya zonal marking. So kuna mambo kadha ya kuzingatia.Ukiangalia wakati kona inapigwa ni mtu mmoja pekee ndo alikuwa kafanya "man marking". Wengine wote walikuwa wanatazama mpira.View attachment 2531254
Asante kwa analysis nzuri.Hilo ni goli kama magoli Mengine.
Magoli ya vichwa hayajaanza kufungwa leo..
Madrid wakiwa na Ramos na Pepe na walikuwa wanafungwa magoli ya vichwa.
Chelsea ya kina John Terry, Michael Essien, Gary Cahill , Ballack, yaani maroboti wote wanaoweza kupiga vichwa na walikuwa wanafungwa magoli ya vichwa.
Yes ni goli kama magoli mengine, Mistake and a goal is scored. Ili goli la kichwa lifungwe lazima kuwe na poor marking au mkabaji azidiwe kwenye kuwania mpira.
Kwani zimepigwa kona ngapi na faulo ndogo ngapi siku ya hiyo mechi?...
This is football.
mwishowe kinachokumbukwa score ni 1-1