barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mtazoea tu! Hata tennis na rugby walilalamika mwanzo!fifa imeanzisha rasmi matumizi ya video assistant referees kwenye michuano ya mabara
utaratibu huu umezua maoni tofauti kwa wadau
View attachment 527175
cha ajabu timu inaweza funga goli na kushangia alafu linakataliwa mnaonekana kama maboya
kuna watu wanasema sheria hii inaondoa msisimko
nini maoni yako mdau?