Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama
Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi?
Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania.
Wagombea Kwa Kila Kijiji wameandaliwa? Au uchaguzi umefika watu mnakurupuka?
Nilikuwa nawaza tu maana CHADEMA ndiyo Chama kikuu cha Upinzani Tanzania
Mikakati ya ushindi ni siri ndugu.
Kwamba CCM waipewe Kwa sababu wameiulizia humu jf?